Thursday, January 31, 2013
Wednesday, January 30, 2013
Tuesday, January 29, 2013
HATIMAYE LULU AINGIA URAIANI!!!AACHIWA KWA DHAMANA
Lulu
na mama yake mzazi wakilia baada ya kukutana nje ya Mahakama, Lulu
amechiwa huru na Mahakama january 29 2013 mchana, pembeni ni
mwigizaji Dr. Cheni ambae amekua karibu na familia ya Lulu kwa muda
mrefu sana.
Lulu akiangua kilio baada ya kushindwa kuongea na waandishi wa habari waliokusanyika mahakamani hapo.
Lulu akitoka katika lango Kuu la Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada ya kupata dhamana.
Lulu akilia wakati akitoka Mahakamani huku nyumba akifuatiwa na mama yake mzazi.
Lulu akiondoka mahakama hapo.
Wakili anayemtetea Lulu akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya mteja wake kupata dhamana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Lulu amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kuwa na wadhamini wawili ambao ni watumishi wa serikali waliosaini bondi ya Sh.milioni 20 kila mmoja, kusalimisha hati ya kusafiria, kutotoka nje ya Dar es Salaam bila ruhusa ya mahakama na kuripoti kwa msajili kila mwezi. Lulu anakabiliwa na kesi ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii mwenzake marehemu Steven Kanumba.
source;king kf, habari mseto

Monday, January 28, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)