Brigitte
Alfred akipunga mkono kwa furaha mara baada ya kutangazwa kuwa ndie mshindi na
kuwabwaga washiriki wenzake 29.
Brigitte
Alfred (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Miss Tanzania 2011, Salha Izrael

Mshindi
wa Taji la Redds Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred (katikati) akipunga mkono
kwa furaha katika picha ya pamoja na mshindi wa Pili, Eugene Fabian (kushoto)
na Mshindi wa Tatu, Edda Sylvester mara baada ya warembo hao kutangazwa kuwa
washindi wa shindano hilo. Brigitte anatokea Kitongoji cha Sinza na Kanda ya
Kinondoni wakati, Eugene anatoka Mkoa wa Mara na Kanda ya Ziwa huku Edda ni
Miss Kigamboni na Kanda ya Temeke.

Washiriki wakicheza show ya ufunguzi wakati wa kuanza kwa shindano hilo.
Wageni mbalimbali na wadau wa tasnia
ya Urembo nchini Tanzania wakifuatilia shindano hilo kwa umakini ndani
ya Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Wasanii wa kundi la Ngoma za Asili la Wanne Stars likitoa burudani kwa wageni.
Balozi wa Tanga Beach Resort, Happyness Rweyemamu akijinadi jukwaani na vazi lake la ubunifu.
Mshiriki Flavian Maeda kutoka
Kitongoji cha Kurasini na Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam akipozi
jukwaani na vazi la ubunifu.
Fina Recatus akipita jukwaani na vazi la ubunifu. Fina ni Balozi wa Tanga Beach Resort 2012.
Naomi Jones nae akipita jukwaani na vazi la ubunifu
Mrembo wa Dar Indian Ocean na Kinondoni, Kudra Lupato nae alikatiza jukwaani na kunaswa na Camera ya Father Kidevu Blog.
Brigitte akipozi na vazi lake la Ubunifu
Msanii kutoka THT Rachel nae alipata
fursa ya kuonesha kipaji chake na kudhihirisha wazi kuwa yeye ni Mrithi
wa Ray C kwa sauti na kiuno Bila mfupa.

Warembo mbalimbali wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakionekana Jukwaani katika vazi la ufukweni.
Warembo mbalimbali wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakionekana Jukwaani katika vazi la ufukweni.
Warembo mbalimbali wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakionekana Jukwaani katika vazi la ufukweni.
Warembo mbalimbali wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakionekana Jukwaani katika vazi la ufukweni.

Juma Pinto kutoka Jambo Concerpt (kulia) na William Malecela 'Lemutuz' nao walikuwepo.
Waongoza Show nzima ya Redds Miss Tanzania 2012, Jocate Mwegelo 'Kidot' na Taji Liundi
No comments:
Post a Comment