MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA HUSSEIN RAMADHANI MKIETI MAHALA PEMA PEPONI..AAMIN
Source;This is Diamond
| Hawa ni wasanii waliokuwa wa karibu na Sharo Milionea wakiangua kilio baada ya kuuona mwili wa Marehemu |
| Hili ni gari lililoleta Mwili wa Marehemu nyumbani hapo... |
|
|
| Mwili wa Marehemu ukiingizwa ndani. |
|
|
| Wastara ambaye ni Mke wa Sajuki akiwa katika hali ya uzuni.... |
| Visent Kigosi (Ray) Baada ya kuwasili kutoka Hospitali ulipokuwa mwili wa Marehemu. |
| Hii ni sehemu maalumu iliyoteuliwa kukaa wasanii wa Filamu. |
| Nisha pembeni ni Florah Mvungi |
| Msanii wa Filamu Mainda |
|
|
| Hawa ni baadhi tu ya watu waliopoteza fahamu baada ya Mwili wa Marehemu Sharo milionea kuwasilishwa nyumbani hapo. |
| Kiongozi toka Serikalini akitoa maelekezo kwa watu waliofika mahali hapo.... |
| Msanii aliyekuwa Rafiki kipenzi wa Sharo (Kitale) akiangua kilio Mochwari |
| Mama Mkubwa wa Sharo Milionea akilia kwa uchungu... |
| Mjomba wa Marehemu Sharo Milionea akimwaga machozi... |
| Ndende |
| Eneo la Hospitali Teule ya Muheza ulipohifadhiwa mwili wa marehemu |
No comments:
Post a Comment