source..Jestina George
![]() |
| Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki |
![]() |
| Wakimuombea Marehemu Steven Kanumba |
![]() |
| Shada la Maua likiwekwa kaburini hapo |
![]() |
| O pole sana Lulu Mungu akutie nguvu. |
![]() |
| Mama Kanumba akisaidiwa kuweka shada la maua |
![]() |
| Lulu akiendelea kumlilia Kanumba huku Mama Kanumba akiweka shada lake la maua kwenye kaburi la mwanae |
![]() |
| Lulu akiwa katika picha ya pamoja na mama Kaumba mara baada ya misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Steven Kanumba afariki. |
![]() |
| Lulu na mama yake mzazi wakiwa katika makaburi ya Kinondoni |
![]() |
| Waigizaji mbalimbali kwenye kumbukumbu ya Marehemu Kanumba makaburini Kinondoni muda mfupi uliopita, |
R.I.P Steven Kanumba











No comments:
Post a Comment