Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za
Kiislamu TanzaniaSheikh Ponda Issa Ponda pamoja na wengine 49 walihukumiwa kifungo cha nje caha mwaka mmoja hapo jana katika mahakama ya Kisutu.
Askari wa Magereza akimfungua pingu Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za
Kiislamu Tanzania katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu hapo jana
Sheikh Habibu Mazinge (suti nyeusi) akimlaki Sheikh Ponda mara baada ya kuachiliwa huru.
Sheikh Ponda akizungumza na waandishi wa habari.
"Kuna
utaratibu umeandaliwa na jumuiya na taasisi za kiisilamu Tanzania
tutawaita tutazungumza kwa pamoja lakini kikubwa ninachoweza kusema
kwamba tumeshuhudia uonevu na dhulma tunayofanyiwa waisilamu nanyie ni
mashuhuda hapa leo." Alisema.
Askari wakiwa kwenye msafara wa kumsindikiza Sheikh Ponda baada ya kuachiwa.
Sheikh Ponda akiswali katika Msikitini wa Mtambani pemben ni Imam Suleiman wa msikiti wa mtamban Kinondoni B Dar es Salaam.
|
Taqbirrrrrrrrrr.....Allah hu Akbar!! |
Sheikh Ponda akihutubia katika Msikitini wa Mtambani, Kinondoni Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment